MWANAMZIKI COOL KAKA AMEACHIA NGOMA YAKE THIS IS ZANZIBAR CHINI YA REC. STUDIO YA JUPITER STUDIO KTK MIKONO SALAMA YA PRODUCE MKUBWA NA MAHILI PRODUCE LABIZO LABONE ENJOY THE GOOD MUSIC USIACHE KU SUBSCRBE
Popular posts from this blog
BAADA YA UKIMYA WA MUDA MREFU MSANII CHIDI YOBO LEO AMEIBUKA NA HAYA JE UNAYAPA ASILIMIA NGAPI KAMA MDAU WA MZIKI WA SANAA YA ZANZIBAR UNA LIPI LA KUCHANGIA ALISEMA HIVI Mziki wa zanzibar kiukweli ni mzuri sana wenyewe tunauwita zenji flavor ila kuna watu wanaufanya uwe mbaya kutoka wanalazimisha kitu ambacho hawakiwezi wala sio wabunifu ili mradi nae awe msanii this is too much my people naupnd mziki wa zanzibar na nauthamini coz unanithamin, ivi media au blogs lengo letu ni kukuza mziki wetu ama kuushusha? Bora usiicheze nyimbo mbaya kuliko kuonekana atujui sote ata km ni mm ukiona ni mbaya ach nielekeze vp nifanye ili kesho nikuletee kizuri, eti leo ngoma mbaya na mbovu kabisa inakua hit song hahahaha this is not true. Zanzibar stand up
Comments
Post a Comment