BAADA YA UKIMYA WA MUDA MREFU MSANII CHIDI YOBO LEO AMEIBUKA NA HAYA JE UNAYAPA ASILIMIA NGAPI KAMA MDAU WA MZIKI WA SANAA YA ZANZIBAR UNA LIPI LA KUCHANGIA   ALISEMA HIVI 
Mziki wa zanzibar kiukweli ni mzuri sana wenyewe tunauwita zenji flavor ila kuna watu wanaufanya uwe mbaya kutoka wanalazimisha kitu ambacho hawakiwezi wala sio wabunifu ili mradi nae awe msanii this is too much my people naupnd mziki wa zanzibar na nauthamini coz unanithamin, ivi media au blogs lengo letu ni kukuza mziki wetu ama kuushusha? Bora usiicheze nyimbo mbaya kuliko kuonekana atujui sote ata km ni mm ukiona ni mbaya ach nielekeze vp nifanye ili kesho nikuletee kizuri, eti leo ngoma mbaya na mbovu kabisa inakua hit song hahahaha this is not true. Zanzibar stand up

Comments

Popular posts from this blog